Mwana HipHop mkongwe Haitian-American superstar Wyclef Jean ametangaza nia yake ya kuwa Raisi wa Haiti baada ya uchaguzi utakaofanyika nchini kwao November 28 mwaka huu.
Wyclef amejitosa baada ya kushauliana na familia yake na kuweka wazi shwala hilo kupitia kituo cha Tv cha CNN na kipindi chake cha Larry King Live!
No comments:
Post a Comment