Tuesday, August 3, 2010

New song; BONGO kama NEWYORK - XDIZO..!

Once again XDIZO anayelisongesha chama la MAKAVULIVE ametoka jikoni na ngoma nyingine kali inayoitwa "BONGO KAMA NEWYORK" akiwa amepigwa tafu na Mon G ktk chorus, Xdizo anaifananisha Bongo DSM na NewYork city baada ya kuona wasanii wa Bongo vile wameendelea kimuziki...... hasa ktk styles, sikuhizi zinapigwa mixtape, na mambo mengi yanafanyika kama mbele
SalaSala wanakuita Brooklyn... na ye hakusita UKONGA kupaita New York Queens!!
SIKILIZA NYIMBO ipo ktk Playlist ya Makavulive hapo juu kulia namba 1 kabisa,
kabla ya ngoma hii Xdizo alifanya collabo na Baghdad pamoja na Nikki Mbishi nyimbo inaitwa 24Seven pia imo kwenye Playlist

No comments:

Post a Comment