Friday, September 3, 2010

Alicia Keys atanua na kitoto chake tumboni..!

Alicia Keys akijivinjari na mumewe ambaye pia ni producer wake Swizz Beatz pande za NYC, muda mfupi tangu walipotoka kufunga ndoa yao..... pia kuna habari kuwa watatambulisha kazi yao mpya lkn hawajaweka wazi siku watakayoitoa!


Alicia Keys siku walipooana na Swizz Beatz kama mwezi sasa umeshapita, Alicia hii inakuwa ndoa yake ya kwanza na mtoto wa kwanza pia... wakati mchizi Beatz ambaye jina lake halisi ni Kasseem Dean tayari ana watoto wawili kabla.


No comments:

Post a Comment