Dullayo kushoto akiwa na Salu B ktk pozi..
Ma-don wa combine ya Makavulive 'Dullayo' na 'Ommy G' Gangsta wametoka na nyimbo nyingine ya collabo inayoitwa 4.4.2...
nyimbo imetengenezwa na producer Mubba Touch, Dullayo kaanza verse ya kwanza Ommy G kamaliza verse ya pili. Mara ya mwisho wahuni hawa walishirikiana ktk nyimbo ya crew 'Ongea mwana' na 'Skiliza mchumba' ya Gangsta ambapo Dullayo alifanya chorus!
sasaivi Dullayo ana nyimbo mpya hewani inayoitwa TWENDE NA MIMI wakati Ommy G bado yuko studioakiendelea kutengeneza vitu vyake.
unaweza kuiskiza na kudownload for free kabisa ktk playlist hapo juu kulia!!
unless otherwise bofya hapa chini

No comments:
Post a Comment