Wednesday, September 8, 2010

Msondo kutumbuiza TTC Changombe Idd Mosi....., Fm Academia kuzindua Vuta nikuvute Diamond Jubilee..!


kundi zima la msondo ngoma likiwa katika picha ya pamoja



Rapa wa msondo ngoma Romarioi Mng'ande akirap na kucheza sambamba na Nacho Mpendu 'Mama Nzawisa'





Mwanamziki mpya wa bendi ya FM academia, Hafsa Kazinja,(kushoto) akiimba mbele ya waandishi wa habari Dar es salaam wakati wa utambulisho wa uzinduzi wa albam mpya ya vuta nikufute itakayozinduliwa siku ya Iddi mosi katikati ni rais wa bendi hiyo Nyoshi el Sadaat na Ofisa Mahusiano wa Kampuni ya Zain Muganyizi Mutta ambao ni wadhamini.

No comments:

Post a Comment