Wednesday, September 8, 2010

SAVE MWISHO, SAVE TANZANIA..!

Paloma na Mwisho for eviction this week

Mwisho yupo kikaangoni, zinatakiwa kura nyingi ili kumchomoa ktk huu msala wa kutolewa ktk jumba la Big brother Africa all stars. Wanaopigiwa kura ni Mwisho na Paloma, Munya yuko safe wiki hii baada ya kuwa kikaangoni kwa wiki 5 mfululizo!

so...ni kipute

Tanzania Vs Zambia


TUMA UJUMBE MFUPI KUTOKA KTK SIMU YAKO ANDIKA .......VOTE MWISHO.... KWENDA NA NAMBA .....15726

au nenda ktk mtandao huu hapa chini na umpigie kura yako

www.mnetafrica.com/bigbrother

No comments:

Post a Comment