Wednesday, September 8, 2010

Sina 'stress', Najipanga - Dullayo!


Msanii wa bongofleva Dullayo amesema hana Stress ila anajipanga ktk timing zake na kuwaahidi makubwa fans wake na wapenzi wote wa muziki especially bongofleva.


Akihojiwa na mtangazaji wa kituo cha redio Mlimani leo jijini DSM 'kwamba mbona kama ana stress hivi ktk gemu, kwakuwa ameonekana kuwa nyuma kisanaa na ktk kuachia kazi zake' D-timing alijibu kuwa baada ya kuona kuna wasanii wengi wameachia kazi zao ameamua kunyuti kwanza ili afanye timing nzuri na kupata mafanikio mazuri... kwasasa bado yupo ktk michakato yake.




Hata hivyo alisema bado ana nyimbo nyingi sana ambapo tayari amezifanya kazi ipo ktk selection, ipi ianze na ipi ifuate!

Juzi kati pia redio Mtwara walifanya mahojiano kwa njia ya simu na kuuliza kwa nini kila anapotoka anakuwa tofauti na awali, Dullayo alisema anapenda kuonekana MPYA kila siku ndio mana anabadilika badilika ktk styles zake kimuziki.



Ktk hii project yake ya pili baada ya ile ya kwanza IMANI aliyoachia mwaka 2008 chini ya Mj Records,


Dullayo amesharekodi nyimbo zaidi ya 20 na shughuli ipo ktk kuchagua ngoma gani zisimame kwa Album ya 3




Tayari ameachia ngoma tatu NAUMIA ROHO, CHUZ DOA, pamoja na TWENDE NA MIMI.



STAY TUNE FOR 2ND ALBUM FROM DULLAYO!!

No comments:

Post a Comment