Angelina Jolie amepewa title ya Best Celebrity Role Model ktk kura mpya zilizopigwa online hivi karibuni, kura hizo za WENN poll zilimpa Angelina nafasi ya kwanza baada ya kupata karibu asilimia 50 ktk kura hizo. Actor huyo alitafutwa na kupewa nafasi hiyo huku akiwa Pakistan ktk mafuriko yaliyotokea hivi karibun kama UNHCR Goodwill Ambassador. 
Nafasi ya pili ilikamatwa na actor mwingine George Clooney 23% na ya tatu akashika mrembo Miley Cyrus hapo juu pichani kwa 15%
No comments:
Post a Comment