Saturday, September 18, 2010

Becks family..!

'Victoria' msanii maaruf wa pop akijiachia na mumewe ambaye ni galacha la soka 'Beckham' pamoja na watoto wao Brooklyn na Cruz pande za Brentwood, California.
Mara chache sana mastaa hawa huwa pamoja km familia kutokana na kutingwa na ratiba zao za kazi, hii ilikuwa juzi ktk kiwanja cha basketball.



No comments:

Post a Comment