Wednesday, September 1, 2010

Uchochoro mwembamba kuliko yote Italy..!


Huu ndio uchochoro mwemba zaidi nchini Italy, una upana wa sentimita 43 tu...... hapa tunapita wembamba tu!



Mdau Mark producer na msanii anayewakilisha bongo pande za Italy akiwa ktk chocho hio....




Mark Mushi wa Italy akiwa ktk pozi la kupumzika baada ya pilika nyingi na mazoezi ya kinanda
Thanx Mark tumwagie mambo zaidi kutoka Italianoooo!!


3 comments:

  1. please, mark mushi nina shida sanasana ya kuwasiliana nawe. please, my mail: namraro81@yahoo.com

    ReplyDelete
  2. duh hii kali sasa producer nchi zilizo choka ndo hayo maisha yake.kelele nyingi tu mtaa umechoka ile mbaya italy spain ureno choka mbaya bora zing,olewe ndani ya jumuiya ya ulaya maana maisha yao choka mbaya yaani.producer hata mjengo umekushinda kumiliki ukamua kukodisha kichumba kitanda kaa cha mabwenini shule za sekondari bongo.pole saana dogo maiki

    ReplyDelete
  3. Bella Mark...continua così cugino e vedrai ke c'è l'ha farai!!!

    ReplyDelete