D knob amrudi tena safarii hii akiwa na Matonya kwenye song yake mpya inayokwenda kwa jina la Bora tumeachana ambayo imefanywa na Producer Villi ambaye alifanya nyimbo ya Bad Man ambayo iliweza kufanya vizuri.
from Bongo flava music
No comments:
Post a Comment