Monday, October 11, 2010

R.I.P Abdallah Ramadhani..!

Marehemu Abdallah Ramadhani

Mtangazaji wa Channel 10 na Redio Magic za jijini DSM pichani aliyefariki ktk ajali ya gari akitokea Msumbiji kuja DSM anazikwa leo jioni hii

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI

1 comment:

  1. Mungu akusamehe madhaifu yako na akupe pumziko la amani la milele Abdallah. Hakika ulijitahidi kusimamia familia yako tangu kifo cha baba yako.. Thawabu yako iko mbinguni Abdallah. Utakumbukwa kwa mema yote na moyo wako wa upendo uliojaaliwa na Mungu. Umeondoka ungali kijana mdogo bado ila tunaamini kuwa kazi uliyopewa na Mungu duniani ilimalizika that's why aliruhusu uondoke. Mungu na ailinde na kuiangalia familia yako (mama yako, mke wako, mwanao, wadogo zako) Amen.

    ReplyDelete