World News

Friday, November 5, 2010

4-4-2 Lyrics by Ommy G &Dullayo

Verse I; Dullayo

Nina chorus kama Chilla

Freestyle kama Zilla

4-4-2 mwendo kama Aston Villa

Kama Black messenger, Jigwa na Redd scout

Tangu mi nna manager si flow mi nashout

D am a badman am Rex Rugga

Nawapiga ka Macho man hapa mwendo wa loser

Huu mziki una mabif namkumbuka nigga Pac

Touch lete beat mapigo kama Scastoch

Ukonga stand up Kavulive chama langu

Mahebebee sasa kopini hii style yangu

Tangu Serious na kiki za Marco chali

Mpaka leo nipo kweli mziki huu safari

Mambo mengi nilifeli kwasababu ya utoro

Mwanga angavu adui wa giza u totolo

Pekeyangu najisongesha na kupiga show za night

Nawakondesha hawapendi kuniona na fight

Leo nawakata na 4-4-2

Style kali vina kati 1-2-1-2

Kiitikio

"Mi nasema ngoja

Skiza hizi flow za kisoja, kwa style ya 4-4-2

Kama huna hoja

Ngoja nikupe hizi flavour, kwa style ya 4-4-2

Ohooo hoo

Nigga what x 4"


Verse II: Ommy G

Wanasema ni kama X, Mystical, Ja

Na wengine wanauliza kama nacheza zile one two one two buba buba

Wamelikologa watalinywa leo

Mwanenu bado kitu dawa

Naona kama nanawa

Gansta hapa muhuni nawafanya vibaya

Wanaona haya wana tabia mbaya

Wao wanaogea dawa

Mimi navuta dawa…siogi

Wakijipaka dawa muhuni ntajidunga dawa

Halafu tuone mimi na wao nani anapagawa

Style yangu hii hii siibadilishi ni 2-4-4

Mic ninavyoikamata ni kama Drogba na Jagulani ball

Huu ushindi wa muhuni umetabiriwa na mdudu Pweza Paul

Huu ushindi wa Makavu umetabiriwa na mdudu Pweza Paul

Kiitikio


Outro

(Dullayo)

4-4-2 na midundo ya kistaa

Skiza hizi punchline za mastaa

Kaeni nyumbani tu na muwe mayaya.. hii flow ya mastaa

(Ommy G)

Halafu sio kihivyo tu

Iwe kisela iwe kibrazameni

Humu mnakaa x 2

U cant do what we re doin

We can do what u do


Ommy G; This is 2-4-4

Dullayo; 4-4-2 niggaaa

Ommy G; Mubbaaaa

Dullayo; Mubbanga

Ommy G; Wahuni wawili tu

Dullayo; Tunakinukisha

Ommy G; Makavulive

Dullayo; Unaona makavulive Tanzania nzima, safi sana
No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...