Thursday, November 11, 2010

Wahi kiwanja kinauzwa Bunju..!

Viwanja Viwili vinauzwa ambavyo kila kimoja kina urefu wa mita18 na upana mita 18 na bei yake ni Kiasi cha sh 5 milion na bei inapungua kidogo.

Eneo ni Bunju A, Si mbali sana ukishuka toka Barabarani

Kwa Mawasiliano Zaidi
Number ya simu ni 0713 241030,0757442404 ibra na 0712 145237 Abdallah

No comments:

Post a Comment