"eyo what's up joh hop mko poa na mnaendeleza harakati coz ukiwa kama teen una malengo ya kufika pale unapopawaza, kwa jitihada na kwa kuomba mungu i hop tutafika pale tunapopataka.
so kwa muda wa siku 300 ama miezi 10 kipindi cha club kumi katika redio ya watu cloud's fm kilikuwa hakiko hewani. kutokana na likizo na pia kutokuwa na kiranja wa kuliongoza darasa hilo la club kumi katika shule ya cloud's fm bt kwa sasa ameshpatikana kiranja ambae ana dhamana ya kuliongoza darasa hilo so mateen wote baada ya likizo ndeefu ya miezi kumi tarehe 6 nov 2010 toka tym ya saa nne asubuhi mpaka saa sita.... stay tune @ cloud's fm....."

No comments:
Post a Comment