Mjumbe wa Balaza la Usuruhishi wa Kata ya Kiwalani Bw. Josephat Mkude akionesha waandishi wa habari maeneo ya ofisi ya kata ilivyo ungua kwa moto usiku wa kuamkia leo ambapo ilichomwa na watu wasiojulikana kutokana na sababu za itikadi za kisiasa
Hapo juu ni picha za Tukio lililotokea usiku wa kama saa 2 hivi jana baada ya wasimamizi wa uchaguzi katika kata ya Kiwalani kuondoka na askari wakiwa ktk magari ya polisi na masanduku ya KURA kabla ya kutoa matokeo hasa ya Udiwani ambayo watu wengi walikuwa wakuyasubiri kwa hamu..
Huku nyuma watu wakaona wamefanywa wajinga, kwa hasira wakachoma moto ofisi hizo! Laiti matokeo husika yangetolewa mapema ofisi isingechomwa moto
No comments:
Post a Comment