World News

Monday, November 29, 2010

Congratulation Neema.....!


Neema akikata keki ya pongezi kwake baada ya kutunukiwa Shahada ya Sheria kutoka Chuo kikuu cha Dsm juzi

Mr. Fred akimpongeza Neema kwa staili ya kumlisha keki

Steve b akisisitizia jambo flan kwa wadau waliohudhuria dinner party ya kumpongeza Neema ktk hotel ya Collubus, K'nyama

Eddo bway akishow luv ktk dinner party hioBaada ya kulishana keki na Fred, Neema aliwalisha another best couple... John & Neema

oyooooooo

Dj Spesso akilishwa keki

Braza wa AAR akila keki

ukafata muda wa msosi.....
Mr. Hamis akitoa nasaha zake kabla ya kukabidhi Champagne kwa John kwa ajili ya kufungua


Baadae Neema alitoa shukrani zake, akamshukuru Fred 'mumewe mtarajiwa' kwa support aliyompa na dinner nzuri aliyoandaa kwaajili yakeBasi bata likaendelea.... Graduate gal na washkaj after part ikahamia Garden Bistor

ukisoma mishale ya saa hapo, ni kama mida ya 9 hiv....... ndani ya Bistor

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...