Monday, November 29, 2010

Mzee Makasy amtembelea Gurumo hospitali..!


Mwanamziki wa siku nyingi mzee Makasy akimjulia hali mwenzie Muhidini Gurumo (KAMANDA) aliyelazwa hospital ya taifa muhimbili.
Gurumo yupo mwaisera wodi namba moja baada ya kutoka katika chumba cha wagojwa wenye uangalizi maalumu (ICU)

No comments:

Post a Comment