Friday, November 26, 2010

Mzee Gurumo alazwa..

Blog ya Makavu imepata habari kuwa Mzee Gurumo aka Kamanda kiongozi wa bendi ya msondo ngoma amelazwa ktk hospitali ya taifa ya muhimbili MNH wodi ya Mwaisela no 5 akisumbuliwa na ugonjwa wa Mapafu kujaa maji, nyepesi zilizopatikana zinasema kwa sasa anapumua kwa msaada wa mashine ya gesi

Wadau na wapenzi wa burudani na watu wote kwa ujumla naomba tumuombee kheri mzee wetu apone haraka!

No comments:

Post a Comment