World News

Thursday, November 25, 2010

Young Dee kupigwa tafu na wasanii kibao ktk uzinduzi wake, Dec. 8 Maisha cluB...!

Mkurugenzi wa Fish Crab Records Lamar jana amezungumza juu ya uzinduzi wa album ya kwanza ya Young D inayoitwa Young Rapper, lamar amesema uzinduzi huo utafanyika siku ya tarehe 8 mkesha wa kuamkia siku ya uhuru ndani ya Maisha Club kwa kiingilio cha shilingi elfu kumi.

wasanii kibao watakuwepo
Lina
, Mwasiti, Barnaba, Amini, Maunda Zorro, Angie,Mataluma, Ditto, Sam wa ukweli, Sajna na Roma huku wakipewa sapot na Chege, Nakaaya, Jaffarai, Chidi Beenz, Geez Mabovu, Fid q na wengine kibao.
be there and be square

djfetty.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...