World News

Saturday, December 11, 2010

Msanii wa filamu anayekuja juu sana!


Msanii wa filamu Esther Flavian ambaye ametokea kujipatia umaarufu katika siku za hivi karibuni kutokana na umahiri na kipaji cha uigizaji alichokionyesha ktk movies kadhaa ambazo amefanya mpaka sasa.

Mwanadada huyu pia ameshiriki ktk video za wasanii mbali mbali wa bongofleva ambapo kwa mara ya kwanza mi nilimuona kwenye video ya Dullayo Naumia roho na sasa yupo kwenye kideo cha Sam wa Ukweli.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...