Saturday, December 11, 2010

Msanii wa kwanza bongo kufanya Chorus ya Kiitaliano; Mark Malik feat. Abbiah - Msinihukumu!

Mark akiingiza vocal

TRACK; MSINIHUKUMU
Artist; MARK.MUSHI FEAT.-ABBIA MASWI
STUDIO; OVER TONE STUDIO/ascoli piceno ITALY

Abbia akiingiza Chorus ya Msinihukumu


Kabla ya Msinihukumu aliyomshirikisha Binamu yake Abbia, Mark ameshafanya ngoma 2 zilizokamilika ktk studio ya Over tone ambayo ipo na maskani yake Itary na baadae jamaa anatarajia kufungua branch pande za Bongo, kwa sasa jamaa anaanda ngoma nyingine inayokwenda kwa jina la Imebaki story.

Unaweza kuiskiza na ku-download for free kabisa ktk Playlist ya Makavulive no. 29 hapo juu kulia. Isikilize halafu tupe maoni yako mdau. Ila jamaa anasema MSIMUHUKUMU!!



No comments:

Post a Comment