World News

Friday, January 7, 2011

Nas apunguziwa dau la kumlipa demu wake wa zamani..!

Nas amepunguziwa mzigo wa kulipa wa kulipa dola 50,000 kila mwezi ikiwa ni matunzo ya mtoto wake na demu wake Kelis ambaye walitengana hivi karibuni ... TMZ imetuhabarisha.

0106_nas_kelis_EX_TMZ
Mahakama ya L.A. County Superior, imemtaka Nas kulipa mkwanja huo akiwa amepunguziwa baada ya kumuomba Jaji kufanya hivyo kutokana na mauzo ya mziki wa hiphop kuwa duni hasa kwa upande wake.......

Uchumi umeyumba, ukizingatia Album yake aliyoshirikiana na mtoto wa Hayati Bob Marley Distant Relatives kuwa moja kati ya Album 10 zilizofanya vibaya kabisa isivyotegemewa!!!!!
kama unakumbuka ktk album hiyo Nas alitumia lugha ya kiswahili pia ktk verse yake,...

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...