Hili balaa Serikali iwajibike, ikibidi waziri ajiuzuru...!
Hizi ni baadhi ya picha za matukio yaliyotokea Gongo la Mboto jijini DSM juzi usiku baada ya milipuko ya MABOMU kutokea ktk kambi ya jeshi iliyopo sehemu hizo na kuathiri watu na makazi yao pamoja na mali..... taswira km hizi hatujazoea kuziona nchini Tanzania
Blog ya Makavu inatoa pole kwa wote walioathirika na janga hili, pia inaomba Serikali iwajibike ipasavyo kutokana na uzembe uliotokea ikibidi hata wahusika wajiuzuru nyadhifa zao!!!
MUNGU WALAZE PEMA PEPONI WOTE WALIOKUFA KUTOKANA NA MABOMU HAYA YALIYOLIPUKA GONGO LA MBOTO AMINI
No comments:
Post a Comment