Thursday, February 10, 2011

Raisi Obama aachana na Uvutaji fegi........!

Raisi Obama ameonekana kutogusa sigara tangu January 20 mwaka jana. ameongea mkewe Michelle Obama huku akiwa mwenye furaha sana!

Obama amekuwa mtumwa wa sigara kwa takribani miaka 30 iliyopita.

No comments:

Post a Comment