Monday, March 28, 2011

BiG Up TWENT PA......!

msanii 20%, aliyeibuka na Tuzo 5 kutoka KTMA na kuweka rekodi kali zaidi. Hongera sana braza..... wewe ni mkali'

Producer wa 20%, Man Water mzee wa Combinanga akiwakilisha baada ya kupokea moja kati ya Tuzo 5 alizoshinda 20%



Tuzo ya wimbo bora wa Afro Pop,
Tuzo ya mtunzi bora wa nyimbo,
Tuzo ya mwimbaji bora wa kiume,
Tuzo ya wimbo bora wa mwaka, na
Tuzo ya msanii bora wa muziki wa kiume

No comments:

Post a Comment