Sherehe za Tuzo za Muziki za Kilimanjaro 2010 zilifana sana zilipofanyika usiku wa kuamkia jana ktk ukumbi wa Diamond Jubilee jijini DSM. Ktk tuzo hizo tumeshuhudia msanii 20% akijizolea tuzo tano 5 na kuweka historia ya aina yake tangu tuzo hizo kuanzishwa miaka 12 nyuma.
Tuzo ya Wimbo bora wa asili ilikwenda kwa SHANGAZI wa Mpoki, kiukweli wengi hawakutarajia hio kitu hata Mshindi mwenyewe alistuka na kufananisha hicho kilichotokea sawa na Mwanamke kuZAA bila ya kuwa na MIMBA
Show ilikuwa nzuri, ikiongozwa na stering MIRLAD AYO "mzee wa Ampli faya" pamoja na kupigwa performance kali kutoka kwa Stara Thomas, AY, Ali Kiba, Mzee Yusuf, Linah, Cpwaa, FA, Diamond, na Banana Zorro
Ila bado kuna mapungufu ktk hizi TUZO waandaaji wanapaswa kufanyia kazi maoni mbalimbali yanayotolewa na wadau ili ziweze kuwa nzuri zaidi km tuzo zingine kubwa dunia.

No comments:
Post a Comment