World News

Tuesday, March 29, 2011

JADAKISS KUIBUKA AFRICA


Msanii kutoka pande za Obama Jason Phillips a.k.a Jadakiss inatarajiwa kudondoka pande za d-zonga a.k.a South Africa kupiga bonge la shoo kwaajili ya kuchangia mfuko wa watoto wasiojiweza.

Tamasha hilo litakalo batizwa jina la "Prince Lindani Foundation fundraising concert".
linatarajiwa kudondoshwa ndani ya "Mavuso Trade Centre" mwezi wa nne mwaka huu.

Kidizain mzazi Jadakiss anatarajia kukwea stage na wasanii wa d-zonga kama (dj tira , jozi, teargas, t-bo touch, zaza, stitch, na wengine kibao.

Kwa taarifa zilizotugusha ni kwamba show nzima design itarushwa hewani live on channel O.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...