World News

Tuesday, April 5, 2011

LIL WAYNE ABANWA NA DENI LA $5.6 MILLIONDwayne Michael Carter Jr a.k.a lil wayne anakabiriwa na kesi ya deni la $ 5.6 mil lilotokana na kuto kulipa kodi.

I.R.S a.k.a T.R.A ya kwa Obama ilimfungulia wayne mashtaka hayo (juma3) march 28 hukooo Miami wakidai mchizi hukulipa kodi ya mapato ya mwaka( 2008 &2009)
Kwa mujibu wa maelezo lil wayne alikua anadaiwa $ 3,335,077.95 mwaka 2008 na kudaiwa tena $2,258,956.04 kodi ya mapato ya mwaka 2009.

Imereportiwa hivi karibuni kwamba mr carter a.k.a wizzy baby anauza 15,101- square- foot mansion yake ilioko kwenye private Miami Beach island kwa mpunga wa kiasi cha $12,900,000.

SIO ISHU MDAU HATA WEWE UNARUHUSIWA KUNUNUA

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...