World News

Friday, March 11, 2011

Ustaarabu bongo Zero....!

Chupa yenye mkojo ndani ikiwa imetupwa kandokando ya barabara ubungo Terminal ktk kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani

Serikali ya jiji la Dsm na sehemu nyingine Bongo walipiga marufuku kwa mtu yeyote kuonekana akikojoa au kutupa uchafu ktk maeneo mbalimbali na watu waliokuwa wakikamatwa walichukuliwa hatua na vyombo vya dola especially Mgambo, hio hata mi nimewahi kushuhudia hasa wale wanaokojoaga kwenye kuta mbalimbali jijini...

Baadhi ya WaBongo baada ya kuona hali imekuwa hivo sikuhizi wanakojoa kwenye chupa tupu za maji na kuzitupa hovyo bila kujali usafi na ustaarabu wa binadamu, hii sio sawa kabisa wandugu...

Weka jiji Safi bana!!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...