World News

Thursday, April 28, 2011

BEYONCE & JAY-Z WAZUSHIWA..


Mwakilishi wa Beyonce amekanusha uzushi uliotapakaa ulimwenguni kuwa wasani hao kutaka kwa Obama a.k.a Marekani watatumbuiza katika harusi ya kifalme ya Prince William na Kate Middleton ijumaa (April 29th)

.

“The ceremony is not on her schedule and she has a shoot in New York on Saturday," Hayo ni maneno ya mwakilishi wa Bey.

Uzushi huo uliibuka baada ya gazeti moja huko Uingereza "Daily Star" ku-report kuwa "William and Kate are massive fans of Beyonce and Jay-Z" na kwamba waliwaomba wanamuziki hao maarufu kuimba ngoma yao ya "Crazy in Love" wakati reception.Uzushi huo ulizidi kupamba moto baada ya kuelezwa kuwa wanamuziki hao wako katika hoteli moja ya kitajiri inayojulikana kwa jina la "Le Meurice" mjini Paris ambayo kuweka ubavu a.k.a kulala kwa usiku mmoja ni $20,000 kama mil32 zakibongo.

Ukweli kamili ni kwamba Jay-Z na mkewe Bey wako Europe kwaajili ya kutengeneza ngoma mpya na kuipigia promo ngoma mpya ya Beyonce "Girls Who Run the World".

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...