Thursday, April 28, 2011

Sheria ya 'kukataza watu kujamba' kujadiliwa bungeni....!




Malawi kukataza watu kujamba?

Mzozo umezuka nchini Malawi kufuatia mapendekezo kutaka kufikishwa bungeni kuhusu kujamba, kuwa ni kosa.

Waziri wa sheria wa Malawi, George Chaponda amesema muswada huo utakaojadiliwa kuwa sheria ndani ya bunge wiki ijayo, utapiga marufuku kabisa kwa mtu kufanya haja hiyo hadharani. Waziri huyo amekiambia kituo kimoja cha radio nchini humo- kwa maneno yake - "nenda chooni kama unajisikia kujamba".
Hata hivyo mkuu wa wanasheria nchini Malawi Anthony Karanga amesema kufanya haja hiyo hakufikii kuharibu hali ya hewa kiasi cha kuwa kosa la jinai.

Mwandishi wa BBC nchini humo anasema wananchi wa Malawi wanajiuliza mapendekeo ya sheria hiyo, iwapo itapitishwa, itatekelezwaje.Awali habari hio ya Kutaka sheria ya kupiga marufuru kujamba ifikishwe bungeni na kujadiliwa ili iwe sheria kamili ililipotiwa na gazeti kubwa nchini Malawi linaloitwa 'the Nyasa Times'

Two of Malawi’s most senior judicial officials are arguing over whether a new bill includes a provision that outlaws breaking wind in public.

Justice Minister George Chaponda says the new bill would criminalize flatulence to promote “public decency”.


“Just go to the toilet when you feel like farting,” he told local radio.

However, he was directly contradicted by Solicitor General Anthony Kamanga, who says the reference to “fouling the air” means pollution.

“How any reasonable or sensible person can construe the provision to criminalizing farting in public is beyond me,” he said, adding that the prohibition contained in the new law has been in place since 1929.

The Local Courts Bill, to be introduced next week reads: “Any person who vitiates the atmosphere in any place so as to make it noxious to the public to the health of persons in general dwelling or carrying on business in the neighborhood or passing along a public way shall be guilty of a misdemeanor.”

Mr. Chaponda, a trained lawyer, insists that this includes farting.

“Would you be happy to see people farting anyhow?” he asked on the popular “Straight Talk” program on Malawi’s Capital Radio.

He said that local chiefs would deal with any offenders.

When asked whether it could be enforced, he said it would be similar to laws banning urinating in public.

via BBC

No comments:

Post a Comment