Wednesday, April 27, 2011

"LUDAVERSAL" NI MOTO WA KUOTEA MBALI..


Msanii Christopher Brian Bridges a.k.a Ludacris ameeleza kwamba ujio wa album yake ya nane (8) iitwayo "Ludaversal" itakua kwenye next level

Luda
ambae aliku busy pursuing an acting career kwenye movies zinazotarajia kutoka hivi karibuni ambazo ni "Breakaway" na "Fast Five" co-starring Vin Diesel, ambayo imesha kamilika na itaanza kuonyeshwa kwenye theaters ijumaa hii (April 29).


Luda & vin

Hivyo vyooote, Luda amesema kuwa havikumzuia uwezo wake wa kuipua a hit album.

"When you hear the album you’ll know, "People can expect me to take it to a level they know I’m capable of. If anybody has doubts, I have no problem continuing to prove myself. And I have no problem slapping the ones who’re sleeping to make them wake up. It’s about consistency."

Nakuongezea kwamba "Who else is able to do those and still get on the 'Welcome to My Hood (Remix)' and kill s**t – period? That’s what I think I’ve been able to consistently do,"



Album ya ludacris "Ludaversal" inatarajiwa kudondoka kitaa mapema (2012).

No comments:

Post a Comment