World News

Wednesday, April 20, 2011

Bone Thugz- - wammaindi mwenzao aliyeamua kuokoka na kuachana na Hiphop...!


Malegendari waliobakia ktk kundi kongwe la HipHop Bone Thugs-n-Harmony Flesh-n-Bone na Layzie Bone wamechukizwa na mwanaHiphop mwenzao kujitoa kabisa ktk kundi na kuachana na sanaa hio waliyoanza nayo tangia miaka ya 90 na kusema kitendo hicho ni cha kumvunjia heshima muasisi mwenzao Eazy E

-- Krayzie is a "dumb f**k" for leaving the group because Bone Thugs "made him who he is."

In fact, Flesh says, "Krayzie might as well say 'F**k Eazy-E' because he is disrespecting Eazy-E's legacy by leaving the group."

FYI -- Eazy-E is credited with discovering the group back in the early '90s.

Flesh says the group will continue to record music -- adding, "Let [Krayzie] walk away ... Bone Thugs will be here regardless. The group will not be affected by Krayzie going ... he knows where home is."

Krazyie Bone amekata nywele zake ndefu baada ya kuokoka na sasa ni muumini wa kanisa la Mashahidi wa YEHOVA

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...