Tuesday, May 10, 2011

Baada ya Osama Wamarekani wataka roho ya Mullah Omari......

Mullah Omari kiongozi wa wapiganaji wa Taliban, pia alikuwa mlinzi wa OSAMA sasa anatafutwa kwa hudi na uvumba na macomandoo wa Marekani baada ya kupata taarifa zake ktk makabrasha ya Osama yaliyokamatwa baada ya kinachosadikika kifo cha Jemedari huyo nyumbani kwake,
donge nono la $ 25 millioni limetangazwa! kwa atakayepeleka kichwa cha Mullar Omary, pia majamaa wanamsaka aliyekaimu cheo cha Osama Dr. Ayman Al-Zawahiri


Ma-Godfather wa Al - Qaeda OSAMA na Dr. Ayman Al - Zawahiri (kulia) ambaye Wamarekani sasa wanataka roho ya huyo kaimu kiongozi wa kundi hilo aliyechukua nafasi ya Osama anayesadikiwa kufa, habari zaidi za Ayman......

No comments:

Post a Comment