Mgeni rasmi,Makamu wa Rais akisoma hotuba fupi mbele ya wageni waalikwa kwenye tuzo za Mwanamichezo Bora 2011,ambazo zimeandaliwa na TASWA na kudhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti (SBL).
Makamu wa Rais Dr Gharib Bilal akimkabidhi tuzo kwa mchezaji bora 2010 Bi.Mwanaidi Hassan anayecheza mchezo wa netiboli katika timu ya JKT Mbweni.Mwanaidi ndiye amejinyakulia gari Toyota GX 100,kushoto ni Waziri wa Vijana,habari,utamaduni na michezo Mh.Emmanuel Nchimbi akishuhudia tukio hilo.
Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Benjamin William Mkapa,akizungumza baada ya kuipokea tuzo yake ya heshima kutoka kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal,Mh Mkapa amesisitiza kuwa uwanja huo unapaswa uendelee kutunzwa vyema ili nchi yetu iendelee kuwa na kumbukumbu na urithi kwa vizazi vijavyo.
Rais mstaafu awamu ya 3 Mh. Benjamin W. Mkapa akipoke tuzo ya heshima kutoka kwa Mgeni Rasmi,Makamu wa rais Dr Gharib Bilal na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Serengeti Breweries Ltd,Teddy Mapunda. Mzee Mkapa ametoa mchango mkubwa sana ktk michezo especially kwa kujenga Uwanja mkubwa wa kisasa wa mpira wa miguu.
Mwenyekiti wa bodi ya Serengeti Mzee Marck Boman akimkabidhi tuzo mchezaji bora wa kiume Shadrack Nsajigwa.
Mwenyekiti wa chama cha Michezo (TASWA),Juma Pinto akizunguma mbele ya wageni mbalimbali ktk tuzo za wanamichezo bora jana usiku ktk hotel ya Movernpick,jijini Dar.
Riadha
1. Wanaume:
Marco Joseph- Alishika nafasi ya nne katika mbio za meta 10,000 michuano ya Jumuiya ya Madola New Delhi, India.
2.Wanawake: Mary Naali –Alikuwa Mtanzania pekee aliyefuzu mashindano ya dunia ya junior yaliyofanyika Canada na kuwa katika kumi bora.
WAVU
1: Wanaume: Kevin Peter
2: Wanawake: Hellen Richard Mwegoha (Magereza Wanawake).
Kikapu
1:Wanaume: George Otto Tarimo (Savio-DSM)
1. Wanawake : Faraja Malaki (Jeshi Stars DSM).
SOKA
Wanaume: 1: Shadrack Nsajigwa-Yanga
2: Wanawake: Asha Rashid
-Alitoa mchango mkubwa kufanikisha Twiga Stars ifuzu fainali za Afrika kwa wanawake
1. Ngumi za kulipwa: Karama Nyilawila
8: Ngumi za ridhaa: .Selemani Kidunda
9: Baiskeli
Wanaume: Hamis Clement:
-Alikuwa mshindi wa kwanza mashindano makuu ya riadha ya Vodacom 2010 Kilometa 190 yaliyofanyika Mwanza
2: Wanawake:
1:Sophia Anderson-Alikuwa mshindi wa kwanza mashindano makuu ya riadha ya Vodacom 2010 Kilometa 80 yaliyofanyika Mwanza
10:Kriketi
Wanaume: Kassim Nassor
11: MWANAMICHEZO BORA CHIPUKIZI
Lilian Sylidion-Filbert Bayi
12: MWANAMICHEZO BORA WA NJE ANAYECHEZA TANZANIA
Emmanuel Okwi: Ametoa mchango mkubwa kwa Simba kutwaa ubingwa 200/2010
13:MWANAMICHEZO BORA WA TANZANIA ALIYEPO NJE
Hasheem Thabeet
15: Gofu:
WANAWAKE
1. Hawa Wanyeche- Ni mchezaji kutoka Klabu ya Gymkhana Dar es Salaam.
WANAUME
2.Frank Roman- Mchezaji wa Klabu ya Gymkhana Moshi.
16: TUZO YA HESHIMA KWENYE MICHEZO:
Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa-ametoa mchango mkubwa kufanikisha ujenzi wa uwanja wa Taifa Dar es Salaam, wakati akiwa Rais.
17: MWANAMICHEZO BORA WA TANZANIA MWAKA 2010 NI- MCHEZA NETIBOLI MWANAID HASSAN.
WANAMICHEZO WA MIAKA ILIYOPITA
2009-MWANAID HASSAN-NETIBOLI
2008-MARY NAALI-RIADHA
2007-MARTIN SULLE-RIADHA
2006-SAMSON RAMADHAN-RIADHA.

No comments:
Post a Comment