World News

Monday, May 2, 2011

Rest in Peace Sir Henry Cooper, kiboko ya Muhamad Ali......

British heavyweight boxer Henry Cooper training with his hands strapped, early 1960s

Legendari wa Ngumi aliyetokea nchini Uingereza Sir Henry Cooper amefariki jana akiwa na miaka 76, alibakiza siku mbili tu atimize mwaka wa 77 tangu kuzaliwa kwake, atakumbukwa sana na wapenzi wa michezo especially mchezo wa ngumi kwa mchango wake mkubwa aliouonyesha. Sir Henry aliwahi kupigana michezo miwili na bingwa wa zamani aliyetishika sana duniani Muhamad Ali na kuonyesha upinzani mkubwa kipindi kile.

REST IN PEACE SIR HENRY COOPERWembley Stadium Henry Cooper V Cassius Clay / Muhammad Ali
Ktk uwanja wa ngumi Wembley Stadium miaka ya 60, Henry Cooper akiwa amemdondosha Muhammad Ali kwa konde kali


Muhammad Ali (formerly Cassius Clay) V Henry Cooper In A Non-title Fight At Wembley Stadium In 1963.

David Haye, the current WBA World Champion, wrote on Twitter: "One of Britain's greatest sports man Sir Henry Cooper passed away today. A true warrior and great human being. Rest in Peace"

Muhammad Ali and Henry Cooper in battle at Wembley Stadium


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...