Wednesday, May 11, 2011

Xdizo awaDiss Mexicana Lacavela, awaita Wasichana Lacavela....!


Xdizo akiwa na Bagdad head wa Mexicana

Baada ya kundi la HipHop 'Mexicana Lacavena' kuwaDiss wakali wenzao wa 'Lunduno' wanaotokea kitaa cha Ukonga, mchizi anayetokea anapotokea Nikki Mbishi na B Boy Stereo wa Lunduno, Xdizo Renne Jr. amewaDiss Mexicana Lacavela na kuwaita Wasichana Lacavela.

MeXiCaNa LaCaVeLa: ni kundi la Hiphop Bongolinaloundwa na wasanii kibao akiwamo Chibwa man, Okey, Klimax, Baghdad na Haidaly.... producer wao anaitwa Messen selector ... walitoa wimbo wao unaoitwa Diss Lunduno, ngoma ambayo majamaa waliwadiss mbaya washkaj wa Lunduno ambao wanakaa Hood moja na Xdizo Renne Jr. aka mfanyabiashara.

Lunduno; inakusanya wakali kibao wa Hiphop pia ambao ni Nikki Mbishi, Stereo, Shashow, Micho na wengine

SKIZA NGOMA YENYEWE "Wasichana Lacavela" no.1 KTK PLAYLIST HAPO JUU


No comments:

Post a Comment