
Dullayo na Soprano mara baada ya kufika Club, kila mmoja alishuka kwenye gari yake na kuitafakari show yao hapo ndani

baadhi ya fans waliizunguka stage jamaa walipoanza kuperform

Dullayo na Arafat Ngumi Jiwe wakiteta jambo kabla ya show yake kuanza

Mtamboni alisimama mtu mzima Dj Nikko Track

Dancers aka Shakers wa Dullayo

Soprano alianzisha show

fans baada ya kupata mzuka walianza kuingia mmoja mmoja kwa steji



Show ilikuwa kali mafans kibao
LEO DULLAYO ANASHEREHEKEA BIRTHDAY YAKEILA PARTY IMESOGEZWA MBELE MPAKA JUMAMOSI 2 JULLYSABABU LEO ANA-SHOOT VIDEO YAKE YA "MIDA YA KAZI" NA VISUAL LAB PALE LAMADAWOTE MNAKARIBISHWA
No comments:
Post a Comment