Friday, July 29, 2011

Sheila wa BigBrother aachia single ya kwanza "Video Girl"

Big Brother Africa reality TV star, Sheila Kwamboka ambaye amehamishia makazi yake nchini Nigeria aka Naija amezama ktk medani ya muziki na tayari ameshaachia nyimbo moja inayoitwa Video Girl sambamba na trailer ya video yake

Sheila mshiriki wa BBA 2010 aliyewakirisha Kenya ameungana na washiriki wengine ambao ni UTI na Tatiana kuingia ktk ulimwengu wa muziki

Tembelea hapa chini kuangalia video hio
http://www.youtube.com/watch?v=nLUN38pQOp4

No comments:

Post a Comment