Saturday, July 23, 2011

SPARK apatwa na ajali Mbaya Singida...!

Msanii wa Bongofleva SPARK amepatwa na ajali mbaya kiasi cha kuvunjika mkono na kuumia sehemu za kifuani, mpaka muda huu ninapokwenda online mchizi bado yupo hospitalini mjini Singida na anatarajia kuanza safari kurudi dar kwa kujiuguza zaidi

Blog ya Makavu inatoa pole sana na kukutakia Upone haraka
Thanks mdau Semunyu

1 comment: