MAKAVULIVE BLOG
Tuesday, September 6, 2011
B'Day ya SteVe b, juzi kati!
Kitu cha keki kabla ya kukatwa, na baadae Steve kupakwa nacho usoni
Mshkaj wa karibu akimwagia maji ktk moja ya shamrashamra za siku hio......Steve B alichezea sana ndoo za maji siku hio
Mchiz akikata keki pemben akisaidiwa na my queen wake
washkaj wakishow luv na birthday boy, 'Abuu kisauti' na Miraj
Washkaj kibao walikuwepo.. Steve mwenye kapelo, TID kati, Marcho, AY, FA, Mchomvu na dj Bike kushoto
MAY ALMIGHT GOD BLESS U, BEING YOUNG FOREVER
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment