Tuesday, September 6, 2011

CHIBWA wa Mexicana Lacavela aja na style mpya ya dance..... "ajibadence"


Chibwa man ni mmoja kati ya wasanii wanaoiunda familia ya mexicana lacavela, ambae safari yake ya mziki aliianza mnamo mwaka 2000 mwezi wa 8 tarehe 6 baada ya kuambiwa na mama yake mzazi ya kwa ana sauti nzuri sana ya kuimba....

sooo baada ya kumsikia chibwa man p.m the baba's rud bwai shata mtoto wa tabata mtaa wa wana wa viuna p.m ameamua kuachia ngoma yake ya kwanza baada ya kuwa sereous na mziki baada ya kuufanya mziki kwa muda wa miaka kumi.....

ngoma imefanyika pande za D Fatalitty pamoja na Bonta's production chini ya Mensen Selector na Producer 4nce B kutoka Bontas production,
na ngoma inafahamika kwa jina la ajibadence.. ikiwa inamaana ya chibwa dance styl mpyaaa kama ilivyokuwa kwa kwaito kutoka kwa wa zulu soyth,

kwa Tanzania itakuwa ni styl ya kwanza kutokea kwetu kwa africa ambayo utaiona kwenye video yake ambayo hajasema ataiachia lini kwa kuwa ipo kwenye hatua zake za mwishoooo. tunaitaji sana saport yako ya hali na mali ili tuweze kufikia malengo yetu.....

NGOMA inapatikana ktk Playlist Hapo juu, sikiliza na its ku-download FO PrOmO OnlY

No comments:

Post a Comment