World News

Friday, November 25, 2011

DSM gumzo Kesho, Bamaga - Leaders.....! ni bonge ya burudani

Sugu

Siku ya Kesho Jumamosi 26 Nov. ktk jiji la Dsm kunatarajiwa kurindima Bonge la Burudani kwa fans wa muziki wa kizazi kipya especially wale wa zamani kdg...........

Ni siku ya kiHistoria ktk Burudani kwani Show kubwa 2 zinafanyika kwa siku moja tena ktk viwanja viwili ambavyo vipo karibu kabisa wala hakuna haja ya kutumia usafiri wa gari kutoka sehemu moja kwenda nyingine!

Dmx

Wakati Bamaga ktk viwanja vya Chuo cha Ustawi wa Jamii Kijitonyama kutakuwa na na BURUDANI KWA MASHABIKI, ambapo kutakuwa na show ya Anti-Virus kutoka kwa wasanii kibao wa Hiphop wa miaka ya nyuma kdg/Vinega wakiwa wanaongozwa na Mh. Sugu aka Mr. II


Pande za Leaders kutakuwa na show kali ya STRAIGHT MUSIC INTERCOLLEGE BASH, ambapo pia kutakuwa na wakongwe wa muziki wa kizazi kipya wakiongozwa na Dmx kutoka Marekani!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...