World News

Saturday, November 26, 2011

MwanaHipHop OMMY G amefiwa na Baba yake mzazi

Omary Muba aka OMMY G amefiwa na baba yake mzazi juzi katika Hospitali ya Tanzania Heart Institute Kinondoni jijini DSM ambapo alilazwa kwa sikum kadhaa akisumbuliwa na ugojwa wa Moyo (Pressure)


Kwa mujibu wa taarifa zilizokwisha patikana ni kwamba walisafirisha msiba jana na tayari wameshazika huko kwao,(Umatumbini)REST IN PEACE OUR FATHER

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...