World News

Monday, November 28, 2011

Leo ni Leo Arusha!


Lile tamasha la ujasiriamali ulilokuwa ukilisubiri kwa hamu limewadiwa. Linafanyika LEO Jumapili katika Uwanja wa Sheik Amri Abeid Arusha kuanzia saa 5:00 Asubuhi. Mbali ya kufundishwa mbinu mbwalimbali za kuwa milionea, kutakuwa na burudani kibao kutoka kwa Chrisina Shusho, Bonny Mwaitege, 20 Percent na wengine wengi kwa kiingilio cha shilingi 5000 tu.

Wahai tiketi yako mapema katika sehemu zifutazo:


SHOPRITE SUPERMARKET, SUMMIT CENTRE, CORDIAL TOURS, ACQULINE HOTEL, KASI STORE, KIBO PALACE HOTEL ZOTE ZA ARUSHA.

Nyote mnakaribishwa.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...