World News

Wednesday, November 30, 2011

Dullayo avamiwa na vibaka!

Mwanzo mwa wiki hii kumeingiwa na mikosi kibao kwa baadhi ya wasanii wa Makavulive ambapo juzi Dullayo alivamiwa na kuibiwa pale vibaka walipovamia nyumbani kwake na kumuibia vitu kibao vya thamani nyakati za usiku.
Wakati huo huo Ommy G alipatwa na msiba mkubwa sana ktk maisha yake alipompoteza Baba yake mzazi siku ya ijumaa na kuzikwa siku iliyofuatiwa.

D-timing akiongea huku akitia huruma alisema majamaa wamemrudisha nyuma kimtindo lakini alikuwa jasiri na kumpa pole mchizi wake Ommy G kwa kuwa yeye alikuwa amefikwa na makubwa zaidi

Ommy G, One luv my braza! tuko pamoja ktk wiki hii ngumu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...