World News

Saturday, December 3, 2011

REST In PEACE MR. Ebbo

Majonzi mazito Tanzania hasa ktk tasnia ya muziki wa kizazi kipya
Abel Loshilaa Motika aka Mr. Ebbo (37) amefariki dunia jana akiwa nyumbani kwake Tanga baada ya kuugua kwa muda mrefu, mipango ya mazishi inafanyika ambapo anatarajiwa kuzikwa kijijini kWao Arusha siku ya jumatatu.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU PEMA PEPONI. AMINA!

1 comment:

  1. maskini nilikua cjui kama mshakaji katutoka duh! inaniuma sana mimi mmsaii baana wimbo wake enzihizo aisse; MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEM PEPNI.

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...