World News

Tuesday, November 8, 2011

Jay Moe is so "FAMOUS"


Baada ya zaidi ya mwaka na nusu tangu JayMoe awe kimya bila wimbo wowote hewani...He's back!...na hii ndo ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ''Famous'' ambayo ameshirikiana na producer wake wa siku nyingi anaejulikana kwa jina maarufu kama MAJANI au P-FUNK,ambaye ndo pia ndiyo producer wa wimbo huo wa ''Famous'' ndani ya studio za BONGO RECORDS,itakuwa ni single ya 3 toka kwenye santuri yake ijayo itayokwenda kwa jina la MOCUMENTARY...

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...