World News

Thursday, November 3, 2011

Villy awaunganisha Godzilla, Dullayo, Dnob, Chege na Endru Gee

Producer Villy, aliyetengeneza ngoma kibao kali hapa Bongo zikiwemo Bad man, Superstar, Choo cha kike, Rudi mwana na zingine nyingi za wasanii wakali wa Hiphop na Bongofleva akiwa ktk studio mbalimbali. Hivi sasa ameibukia ktk Studio za No name na kuunganisha vichwa vi5 vikali ktk hii fani ambapo amefanya nao ngoma moja inayoitwa "Tumeunganika"

Verse ya kwanza amesimama King Zilla, na ya pili yupo D Timing

verse ya tatu kamaliza D Knob

Chorus na mautundu mengine yamefanywa na Chegge pamoja na Endru G

Endru G

Bofya ktk Playlist hapo juu kuskiza hio ngoma!

Song; Tumeunganika
Artist; Villy feat. Godzilla, Dullayo, DKnob, Chegge & Endr G.
Producer; Villy


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...